Kimakian-Magharibi

Kimakian-Magharibi ni lugha nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamakian kwenye visiwa vya Halmahera, Makian na Kayoa. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kimakian-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimakian-Magharibi ilikuwa imedhaniwa kuwa lugha ya Kiaustronesia kama Kimakian-Mashariki katika kundi la Kihalmahera-Kusini. Siku hizi lakini imeainishwa kama lugha ya Kipapua-Magharibi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search